Sambaza

Vanessa Aanika Ukweli Kuhusu Kumpindua Lulu kwa Majizzo

Vanessa Mdee ameamua kukata mzizi wa fitna kwa kujibu tetesi ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi kuwa yeye ndio chanzo cha Uchumba wa Lulu na Majizzo kuvunjika. Tetesi za kuvunjika kwa penzi la Msanii huyo wa Bongo movie na Majizzo zilianza kusambaa kama mwezi mmoja uliopita huku Vanessa Mdee akitajwa ndio chanzo, akihusishwa kutoka Kimapenzi na Boss huyo wa Efm.

Kutokana na Uvumi huo kuenea kwa kasi, Vanessa Mdee kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kutoa majibu kuhusu Uvumi huo, akisisitiza kuwa yeye na Majizzo ni Marafiki tu na hakuna mapenzi kati yao.

“Kabisa yule ni kakangu ni mtu na mheshimu tunafanya biashara pamoja ni mtu ambaye ni mdau wa music and we love that girl we love Lulu and that’s her husband. What are you all talking about?!”   Amefunguka Vanessa alipokuwa akiongea Live Instagram na Followers wake

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey