Sambaza

Willy Paul Amlilia Mwanamke Instagram Kisa Nandy

Msanii kutoka Kenya Willy Paul ambaye anatamba katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki kwa Kuachia hits kali kama vile ‘Halelujah’, Njiwa  Alizomshirikisha Msanii kutoka Bongo, Nandy amezua gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kutumia Ukurasa wake wa Instagram Kumlilia Msanii mwenzie ‘Alaine’ kutoka Jamaica.

Willy Paul na Alaine wamekuwa ni marafiki wa karibu sana hasa baada ya kutoa wimbo wa ‘I Do’ ambao ulifanya vizuri sana katika tasnia ya Muziki Afrika Mashariki. Kupitia Instagram yake Willy Paul ametoa siri kuwa hivi sasa yeye na Alaine sio marafiki tena na kuwa Alaine amemblock kitendo ambacho kimemuumiza sana, kwani alizoea kuona Likes na Comments za Alaine kwenye picha zake na hata akimpigia simu amekuwa hapokei na hajibu Meseji zake. Willy Paul ameandika

“Alaine, we were so good together dear, to be honest meeting you was the best thing ever coz it was like a dream come true.. when u see a man admitting to such, that’ means something big. I woke up today feeling some type of way, you use to like my pics and comment on them.. nowadays I call you and you dont pick.. you dont even reply to my messages.. tell me have I wronged you in anyway? No I dont think so, like I said, i had so much hope in this..” begged Willy Paul on Instagram. 

Willy Paul amezidi kufunguka na kueleza kuwa hata mama yake mzazi amekuwa akimuuliza kuhusu Alaine na kuongeza kuwa hapaswi kumchukia kwa sababu ya Ukaribu wake na Nandy kwani  Nandy ni rafiki yake tu wa kawaida. 

 

View this post on Instagram

 

Alaine, we were so good together dear, to be honest meeting you was the best thing ever coz it was like a dream come true.. when u see a man admitting to such, that’ means something big. I woke up today feeling some type of way, you use to like my pics and comment on them.. nowadays I call you and you dont pick.. you dont even reply to my messages.. tell me have I wronged you in anyway? No I dont think so, like I said, i had so much hope in this.. you came to Kenya the other day n didn’t bother looking for me, I was forced to look for you.. what happened after that?? You blocked me.. mmmmh the reason I’m writing this here is for the world to atleast help me get this message to you.. my mum keeps asking me where you disappeared to. But I’m glad you like one of my posts the other day.. maybe that’s a sign. Plus one more thing, there’s a female artist from Tanzania by the name Nandy. Me and her are just friends…. nothing more… that shouldn’t even worry you dear.. Madam boss please talk, unblock me, this silence is killing POZZE, you know who ur legit king is.. Help me fam.. get this message to her @alainesinga

A post shared by W.I.L.L.Y.P.O.Z.Z.E (@willy.paul.msafi) on

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey