Sambaza

Barua ya 2pac Kwenda Kwa Madonna kuuzwa Milion 200

Image result for madonna 2pac

Inaonekana kuwa vitu vingi alivyoviacha Marehemu 2Pac vinapigwa mnada kwa sasa, hii inajumuisha barua ya rapper huyo aliyowahi kumuandikia, malkia wa muziki wa Pop kutoka Marekani, Madonna kipindi yuko jela mwaka 1995 kwa lengo la kutaka ajue kuwa wameachana rasmi.
Image result for madonna 2pac
Inaelezwa kuwa sababu kuu ya 2pac kumuacha Madonna ni utofauti wa rangi kutokana na yeye kuwa mweusi na Madonna kuwa mwenye asili ya kizungu (Mweupe) na pengine watu wangekua wakimdharau kutokana na yeye kuwa mweusi hata kazi zake za muziki kushuka.

Ripoti zinaeleza, Mahakama imetoa ruhusa ya barua hiyo kupigwa mnada, ikitajwa kuuzwa $100k ambazo ni sawa na milioni 200 za Kitanzania chini ya kampuni ya Memorabilia company.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey