Chris Brown Na Davido kuja na ‘Project’ ya Pamoja
Mwanamuziki wa miondoko ya RnB kutoka pande za Marekani Chris Brown kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka picha ya kava (cover photo) amedokeza kolabo kati yake na mkali wa Afrika kutoka pande za Nigeria Davido.
Wimbo huo unaitwa “Blow My Mind” na Breezy ameandika kuwa utatoka hivi karibuni kwa msanii Davido imekua furaha kubwa kwake aliweka comment yake isemayo “Fvcking HIT”
Toa Maoni Yako Hapa