Sambaza

Nicki Minaj Amefuta Show Yake Ya Saudi Arabia

Image result for nicki minaj cancelled show jeddah worldfest

RAPA Nicki Minaj amefuta show yake ya Saudi Arabia iliyotakiwa kufanyika katika tamasha la Jeddah World Fest linalofanyika Julai 18 katika uwanja wa King Abdullah Sports Stadium.

Nicki alisema “Baada ya kuangalia suala hili kwa makini zaidi nimeamua kufuta show yangu ya Saudi Arabia, ni kweli nataka kuwapa show na muziki wangu watu wa Saudi Arabia ila lazima pia nijali haki za wanawake na uhuru wa kujielezea”.
Nicki Minaj, known for her profanity-laced lyrics and raunchy music videos, was due to perform as headline act of the festival on July 18. (Photo credit: Nicki Minaj official Instagram account)
Nicki alipewa tahadhari na mashabiki zake kuwa anaenda kufanya show na kulipwa na kiongozi Crown Prince Mohammed bin Salman ambaye ananyanyasa wanawake na wanahabari nchini kwao.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey