Sambaza

R. Kelly Akamatwa Tena, Apelekwa Rumande Usiku

 

Image result for r kelly

MWANAMUZIKI wa miondoko ya RnB nchini marekani R Kelly amekamatwa tena amefikishwa rumande saa 9 usiku  na idara ya Polisi wa New York kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya kuwatumia kingono.

R Kelly amekamatwa akiwa katika jimbo la Chicago anatuhumiwa kwa makosa 13 yanayohusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto.

Image result for r kelly

R Kelly alikamatwa mara ya kwanza mwezi Februari kwa tuhuma za kuhusika na makosa 10 ya kingono, mwezi Mei R. Kelly alikamatwa na alishtakiwa kwa tuhuma za makosa 11 ya unyanyasaji.  Hii ni mara ya tatu kwa R.Kelly kukamatwa akihusishwa na tuhuma hizo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey