Sambaza

Mjane wa Nipsey Hustle Apinga Kupokonywa Mtoto

Baby mama wa Rapper Nipsey Hustle aliyefariki kwa kupigwa Risasi March 31, 2029 aitwaye Tanisha Foster, ameingia kwenye mzozo na Familia ya Rapper huyo baada ya kutaka Kumpokonya haki ya kuishi na wanaye kwa madai kuwa hana uwezo wa kumlea.Tanisha, amefunguka na kusema kuwa hata kabla ya kifo cha Nipsey walikuwa wakishirikiana kwa pamoja kumlea Mtoto wao aitwaye Emani, hivyo haoni kama ni sawa kupokonywa haki yake ya kuishi na mtoto wake mwenyewe wa kumzaa wakati huu. Mgogoro baina ya ndugu wa Nipsey na Tanisha umeibuka baada ya Kukatiwa huduma ya matunzo ya mtoto, kitu ambacho alizoea kufanyiwa na Nipsey kipindi cha uhai wake. 

Wamenikatia huduma ya Matunzo ya mtoto, wamegoma kulipa kodi ya pango la nyumba nnayoishi na mtoto. Mimi siwezi kumudu gharama hizo na wamechukua hicho ndio kigezo cha kunipokonya mtoto.. Sio sawa..

Ameeleza Tanisha Foster alipofanya mahojiano na Mtandao wa TMZ

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey