Sambaza

Official Lynn Amtupia ‘Dongo’ Tanasha

Msanii wa Bongofleva/video vixen ambaye aliwahi kuhusishwa kutoka kimapenzi na Msanii Diamond Platnumz, Official Lynn ameamua kuanzisha vita ya maneno na  Tanasha Donna ambaye ni mchumba wa Diamond Platnumz. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Lynn aliweka post na kuandika 

Gari bila mimba….hayo ndio mapenzi bhana sio unanunua gari sababu nina mimba au nimezaa. Anaekupenda kweli anafanya bila kua na kitu juu yake.

Akiwa anamaanisha Kitendo cha Diamond Kumzawadia gari Tanasha Donna siku ya birthday yake kisa ana ujauzito sio mapenzi ya kweli.

 Baada ya post hiyo shabiki mmoja aliweka  comment katika post hiyo na kuandika “Wasiopewa mualiko ???”  kitendo ambacho kilimuibua Lynn nakuamua kujibu “Mualiko wa nini watu wenyewe awajapendeza “

Baada ya kuona kuwa anajibu comments, mashabiki waliendelea kumshushia Comments kuhusiana na kauli aliyoitoa. Moja kati ya comment ilisomeka “Kaona wivu ndo maana Diamond alikukataa”, comment hiyo ilizidi kumtibua Lynn na kuamua kujibu

“@ruru wanini? kwanza wakati tumeshafaidika nyumba gari, aende kule.”

Akiwa na maana kuwa hana shida tena na Diamond Platnumz kwani ameshafaidi vingi kutoka kwake kama vile nyumba na magari kibao ambayo alinunuliwa na msanii huyo.

 

 

 

 

 

 

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey