Sambaza

Hatimaye Zari Amlegezea ‘Kamba’ Diamond Platnumz

Kwa muda mrefu sasa Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Zarithebosslady wamekuwa kwenye mgogoro wa kimahusiano huku kila mmoja akimtupia lawama mwenzie, Kitendo kilichopelekea mpaka kupigana ‘Block’ kwenye Mitandao ya Kijamii.

Kwa nyakati tofauti Diamond amekuwa akikaririwa akilalamika kuwa amezuiwa kuwaona watoto na Zari kutokana na tofauti walizonazo huku Zari nae akitoa lawama kwa Diamond kuwa hajatoa pesa ya matunzo ya watoto kwa muda mrefu na hajui wanaishije zaidi ya kuwaona mitandaoni tu.

“Mapenzi imeleta kwa wanangu vita, siku hizi siwaoni, naishia kuwa like Insta ”  Ni moja kati ya Mistari iliyopo kwenye wimbo wa Inama wa Diamond, akilalamika kuwa kwa muda mrefu hajawaona watoto sababu ya Ugomvi wa kimahusiano alionao kati yake yeye na Zarithebosslady.

Baada ya drama zote hizo, hatimaye Zari ameamua Kum-Unblock Diamond na kumruhusu kuongea na watoto wake Kitendo ambacho kimemfurahisha sana na Diamond na kuamua kupost kupitia akaunti yake ya Instagram , Diamond ameandika..

‘@deedaylan @princenillan @princess_tiffah and I, strategizing how we gonna take this @wcb_wasafi and all wasafi companies to the next level this year…. I can see someone is really happy!And someone feel like crying coz of missing me,’ 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey