Sambaza

Lashana Lynch Arithi nafasi Ya 007 James Bond

Image result for lashana lynch james bond

TOVUTI ya Daily Mail imeripoti kuwa mwanadada Lashana Lynch atarithi nafasi ya muigizaji Daniel Craig kwenye ujio wa filamu za James Bond .

Lashana Lynch atakua muhusika mpya wa nafasi ya 007 James Bond ukiwatoa kina Richard Madden, Idris Elba na Tom Hardy, Lashana Lynch amewahi kushiriki kwenye filamu kama Brotherhood, Fast Girls, Holby City pia Captain Marvel.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey