Sambaza

Polisi Kumchunguza Marehemu Nipsey Hustle kwa Uhalifu

Image result for nipsey hussleIDARA ya Polisi mjini Los Angeles imetoa taarifa mpya ya kumchunguza marehemu Nipsey kwa kujihusisha na vikundi vya  kihuni na kufanya uhalifu. Polisi wameanza kufanya uchunguzi eneo la dukani kwake mtaa wa Strip Mall ili kubaini kama ndio lilikuwa bandari ya shughuli za kihalifu.

Idara ya polisi inafatilia kwa kina maisha ya Nipsey Hussle pamoja na biashara zake, uwekezaji na mpango wake wa kuisaidia jamii .

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey