Rapa Soulja Boy Ameachiwa Huru
MTANDAO wa TMZ umeripoti kuwa rapa Soulja Boy ameachiwa huru siku 146 mapema kabla ya kumaliza kifungo chake kwasababu ya tabia yake nzuri akiwa jera..
Rapa Soulja Boy ameachiwa huru siku ya jumapili julai 14, alihukumiwa kifungo cha Jela cha siku 240 na siku 265 za kazi za jamii kwa kikuika masharti ya mahakama ya muda wa uangalizi (probation)
Toa Maoni Yako Hapa