Video Mpya : Amber lulu Ft Mr T Touch – Vunga
MWANAMUZIKI na video vixen Amber Lulu baada ya kufanya vizuri na nyimbo yake ya ‘Makeke’ ametuletea video ya nyimbo yake mpya inayoitwa ‘Vunga’ akiwa ameshirikiana muandaaji wa muziki nchini Tanzania Mr T Touch na video imeongozwa na Director Joowzey
Toa Maoni Yako Hapa