Boyonce Atoa Orodha Ya Wasanii Katika Album Yake
MWANAMUZIKI Beyonce ametangaza orodha ya nyimbo na wasanii walioshiriki katika Album iyo Mpya ya ”The Lion King The Gift” idadi kubwa ya wasanii kwenye album hiyo wanatoka Afrika.
Album ya The Lion King The Gift inatarajiwa kutoka Julai 19 ambayo imeandaliwa na Beyonce mwenyewe imewashirikisha wasanii wengi kutoka Africka kama Wizkid, Tekno, Yemi Alade, Mr Eazi, Burna Boy, Shatta Wale na Yemi Alade. Pia kuna collabo za wasanii wengine wa nje kama Jay-z, Kendrick Lamar, Pharrell, 070 Shake na wengine wengi.
Hii ndio listi ya nyimbo zizopo kwenye album ya The Lion King The Gif
01 Beyoncé: “Bigger”
02 Beyoncé: “Find Your Way Back (Circle of Life)”
03 Tekno / Yemi Alade / Mr. Eazi: “Don’t Jealous Me”
04 Burna Boy: “Ja Ara E”
05 Beyoncé / Kendrick Lamar: “The Nile”
06 Beyoncé / JAY-Z / Childish Gambino: “Mood 4 Eva”
07 Salatiel / Pharrell / Beyoncé: “Water”
08 Blue Ivy Carter / SAINt JHN / WizKid / Beyoncé: “Brown Skin Girl”
09 Tiwa Savage / Mr. Eazi: “Keys to the Kingdom”
10 Beyoncé: “Otherside”
11 Beyoncé / Shatta Wale: “Already”
12 Tierra Whack / Beyoncé / Busiswa / Yemi Alade / Moonchild Sanelly: “My Power”
13 070 Shake / Jessie Reyez: “Scar”
14 Beyoncé: “Spirit”