Sambaza

Mtoto Wa Marehemu Nipsey Hussle Kupewa Urithi

Related image

MKE wa marehemu Nipsey Hussle, Lauren London amethibitisha kuwa mtoto wake atapatiwa ($1million) sawa na Bilioni 2 za Kitanzania kama pesa za Uhifadhi ‘Guardianship’ kwenye urithi wa marehemu Baba yake.

Image result for Nipsey Hussle, Lauren London Kross Asghedom

Lauren London ambaye amefungua faili kuomba hilo ili kuhakikisha mwanae huyo Kross Asghedom  mwenye umri wa miaka miwili anakuwa na usalama wa maisha yake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey