Sambaza

Rick Ross Ametangaza Ujio Wa Album Yake Mpya

Related image

RAPA kutoka Marekani, Rick Ross a.k.a Rich forever ametangaza rasmi ujio wa album yake mpya ”Port Of Miami 2″ kupitia ukurasa wake wa instagram Rick Ross ameweka kipande cha video fupi ambayo ikimuonesha akiwa anabatizwa na kuzifuta dhambi zake  album hiyo mpya itatoka August 9 mwaka huu.

View this post on Instagram

PORT OF MIAMI 2 8.9.19 #MMG #POM2 #LLBB

A post shared by Rick Ross (@richforever) on

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey