Sambaza

Kim Kardashian Na Kanye West kumtoa Jela Rapa ASA Rocky

Image result for kim kardashian

Mtandao TMZ umeripoti kuwa Kim Kardashian pamoja na mume wake Kanye West wapo kwenye mazungumzo ikulu nchini Marekani ili kumtoa jela Rapa ASA Rocky ambaye yupo jela nchini Sweden

Kupitia watu wakaribu na Mastaa hao, wameuambia mtandao wa TMZ kuwa, Kim alimpigia simu Jared Kushner ambaye ni mkwe wa Rais Trump na kumpa maelezo yote ya kesi ya ASA Rocky. Hivyo Jared ameyafikisha Ikulu kwa majadiliano.
Image result for kim kardashian

Rapa A$APRocky  alikamatwa Juni 30, 2019 mitaa ya Stockholm, Sweden baada ya kuanzisha ugomvi na kusababisha kukosekana kwa utulivu eneo hilo.

Wiki moja iliyopita Rapa Snoop Dogg alimwambia Kim Kardashian kuwa afanye mpango wa  kumtoa ASA Rocky “You’ve been gettin’ all kinda n*ggas out of jail this year. Go get Rocky outta jail.”alisema Snoop.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey