Cardi B na Tuhuma Za Kulewesha Wanaume Na Kuwaibia
Rapa Cardi B ametweet kupinga tuhuma zinazo sambaa mtandaoni juu ya kuwalewesha kwa madawa ya kulevya wanaume na kuwaibia.
kupitia video ya muda mrefu inayosambaa mtandaoni ikimuonesha Cardi B akizungumza na kuthibitisha hilo kwamba kipindi anafanya kazi ya ukahaba alikuwa akiwaibia wanaume kwa staili hiyo.
Cardi B amekanusha hakuwahi kuweka chochote kwenye vinywaji vya wanaume na kuwadhuru japo ni mengi yalikuwa yanatokea kipindi hicho lakini haikufikia hatua ya kumuumiza mtu.
Toa Maoni Yako Hapa