Sambaza

” Hakuna Wanaume Siku hizi, Siwezi Kuolewa ” – Akothee

Msanii wa kike kutoka nchini Kenya Akothee, amefunguka kuwa  hana mpango wa kuolewa kabisa. Msanii huyo ambaye amejijenga vizuri kiuchumi kutoka na uwekezaji mbalimbali alioufanya kwenye biashara kama vile Biashara ya Utaliii, real estate n.k ana watoto watano ambao asilimia kubwa amezaa na wanaume tofauti.

Akifanya mahojiano na Kituo kimoja cha radio nchini Kenya, Akothee amefunguka na kusema kuwa ndoa nyingi sasa hivi hazina maana, na haoni kama kuna umuhimu wa watu kuendelea na tabia ya kupenda kuolewa kwani Hakuna waoaji siku hizi.

“I really wonder if there are still real men left out there, good enough to date, from my small research, women are still crying even in their wedding rings and you wonder why i refuse to get married! I just ask myself what that marriage will bring on the table! Divorce papers?”

Akaendelea kusema kuwa,

“kutokana na uzoefu wangu kwenye mahusiano, sioni kama kuna mwanaume tofauti na wanaume niliowahi kukutana nao, wanaume wote ni sawa na mwisho wa siku wanaishia kukusaliti na kukuumiza hata ufanye nini kwao. Hivyo sioni kama kuna Umuhimu wa kuoana kwa maisha ya sasa hivi.  Alimalizia Akothee

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey