Sambaza

Mke wa AY Aeleza Ukweli, Kuhusu Ndoa Kuvunjika

Mke wa msanii Legend wa Bongo fleva, AY ambaye ni raia wa Rwanda, Remmy ameamua kuweka ukweli wazi kuhusu tetesi za Ndoa yao kuvunjika. Kwa nyakati tofauti AY aligoma kuzungumzia swala hilo alipofuatwa na waandishi wa habari lakini Mke wake ameamua Kuweka ukweli wazi ili kuondoa sintofahamu hiyo.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, kwenye ‘Segment’ ya Question and Answers Aliruhusu watu wamuulize maswali ili awajibu, maswali mengi aliyoulizwa yalihusu tetesi za yeye kuachana na Mumewe AY na bila kuyumbisha yumbisha, Remmy alikanusha tetesi hizo na kusema kuwa bado yupo katika ndoa yake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey