Nyumba Ya Rapa YG Yavamiwa Na Polisi Kufanyiwa Ukaguzi
Nyumba ya rapa YG iliyopo mjini Hollywood Hills Marekani, Julai 3 mwaka huu lilivamiwa na polisi na kufanyiwa ukaguzi baada ya kutokea tukio la kurushiana risasi kati ya polisi na wahuni .
Katika tukio hilo gari ya rapa YG aina ya Cadillac Escalade lilikutwa eneo la tukioila mtu mmoja aliyekuwa karibu na nyumba hiyo amekamatwa na kushtakiwa kwa kosa la silaha na wengine kutiwa pingu wakati polisi wakiendelea kuikagua nyumba la Rapa huyo.
Toa Maoni Yako Hapa