Rapa A$AP Rocky Aendelea Kusota Jela Hadi Julai 25
Mwendesha mashtaka Daniel Suneson ametaka rapa A$AP Rocky kuendelea kushikiliwa ili polisi kuendelea na uchunguzi wa tukio lake la kupigana na kufanya fujo mjini Stockholm juni 3 mwaka huu.
Rapa A$AP Rocky ataendelea kukaa jela hadi julai 25 ambapo anatarajiwa kupandishwa kizimbani tena Ijumaa ya Julai 26, imeripotiwa kuwa taarifa za jitihada za kumtoa Rocky ziliifikia Ikulu ya Marekani kupitia Jared Kushner (Mkwe wa Trump) kutoka kwa Kim Kardashian ambaye kwa kushirikiana na mumewe Kanye West wamepanga kumtoa Jela.
Toa Maoni Yako Hapa