Sambaza

Trump Aingilia Kati Kukamatwa Kwa A$AP Rocky

Image result for donald trump twitter A$A ROCKY

Baada ya taarifa kusambaa za rapa A$AP Rocky kushikiliwa jela nchini Sweden zimemfikia Rais Donald Trump   Ikulu ya Marekani, amezungumza mbele ya waandishi wa habari muda mchache uliopita na pia ame-tweet kwamba ameongea na Kanye West kuhusu hilo.
Image result for donald trump twitter A$A ROCKY
Donald Trump ameeleza pia kuwa atampigia simu Waziri Mkuu wa Sweden kuona ambacho kinaweza kufanyika kumuweka huru rapper huyo wa Marekani ambaye anashikiliwa tangu Julai 3 mwaka huu kwa tuhuma za kumpiga shabiki mmoja kwenye mitaa ya Stockholm.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey