Sambaza

Nandy Aweka Rekodi Mpya Afrika Mashariki

Msanii wa kike wa bongo anayefanya vizuri sana kwenye game ya muziki, Faustina Charles Mfinanga aka Nandy, ameweka rekodi mpya kwa Afrika Mashariki katika mtandao wa Youtube, na kuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha Views Milioni moja kwenye video moja ya wimbo wake.

Nandy ameweka rekodi hiyo kupitia video ya wimbo wake ‘Ninogeshe’ aliyoiachia mwaka May 3, mwaka jana (2019)  Video ambayo imeandaliwa na Muongozaji Jowzey. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nandy ameonyesha kufurahishwa sana na mafanikio hayo na kuandika hiki;

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey