Tegemea Kuwasikia AY Na Joh Makini Kwenye Ngoma Moja
Wakali wawili wa HipHop kutoka nchini Tanzania, Joh Makimi na Ay tegemea kuwasiki kwenye ngoma moja kupitia ukurasa wa instagram wa Joh Makini ameweka picha yake akiwa na AY chini ameandika “TUMESHAPANGA SANA SASA KIFUATACHO NI UTEKELEZAJI TU MASTA AY × JOH MAKINI COMING SOON… #FAVOURITEMCWAMAMENEJAMASOKO”
AY pia kupitia ukurasa wake wa Instagram Yake siku ya jana alidokeza ujio wa ngoma yao hiyo mpya.
Toa Maoni Yako Hapa