Sambaza

” Dullah Makabila Acha Kutumia Mkorogo..” – Sholo Mwamba

Msanii anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Singeli Sholo Mwamba amefanya Exclusive Interview na Global Radio ambapo amefunguka mambo mengi Kuhusu Muziki wake na mipango yake katika Game ya muziki wa singeli.

Akiongea na Kipindi cha Kataambuga cha + 255 Global Radio, Sholo Mwamba ambaye anafanya vizuri na ngoma zake kama vile Kazi, Walete, Uma na nyingine nyingi ameonyesha kukerwa na tabia ya ‘kujichubua’ ya msanii mwenzie wa Singeli, Dullah Makabila. Sholo Mwambe amefunguka kuwa, hapendezwi na tabia ya msanii huyo, na kama akipata nafasi ya kumpa ushauri, atamshauri aache kutumia ‘Kitaulo’

Imefikia point akienda kwenye show mashabiki wanamzomea kutokana na tabia yake hiyo ya kutumia Mkorogo.    Aliongeza Sholo Mwamba

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey