Davido Athibitisha Ujio Wa Kolabo Yake Na Justine Bieber
MWANAMUZIKI kutoka Nigeria Davido ameendelea kuweka wazi mipango ya kazi zake za muziki amedokeza kupata colabo na Justin Bieber katika album yake mpya. Davido alisikika akiongea na muuza dhahabu mmoja kuhusu wasanii wakubwa kwenye album yake, akiwataja Meek Mill, Quavo wa Migos na Justin Beiber.
–
Hii itakuwa colabo nyingine kubwa zaidi baada ya kutangaza ujio wa kazi yake na Chris Brown.
Toa Maoni Yako Hapa