Sambaza

A$AP Rocky Aendelea Kusota Jela kwa siku 21

Image result for a$ap rocky jail

RAPA A$AP Rocky bado anaendelea kusota jela kwa siku 21 nchini Sweden, baada ya juhudi za kumtoa kugonga mwamba.

Wakili wa Serikali amesema wamemshikilia A$AP Rock sababu walikuwa na mashaka atatoroka nchini humo kabla uchunguzi wa kesi yake haujakamilika 

Rais Donald Trump aliahidi kuwatafuta viongozi wa juu nchini humo ili kuweza kumtoa kupitia ukurasa wake wa twitter alitweet kuwa ameshaongoe na kanye west ili kuweza kumtoa A$AP Rocky lakini imeshindikana, hili limemvunja moyo mama yake mzazi na ASAP Rocky ambaye kwenye mazungumzo na TMZ amesema amekata tamaa na hajui yupi atamtoa tena!

“We thinking that if the president himself got involved, you know, and contacted who he did — if that ain’t help, what will help?”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey