Blueface Anaamini Yeye Ndio Rapper Mkali Zaidi
RAPA Blueface Blueface anaamini Yeye ndio Rapa Mkali zaidi kwenye uandishi kwa Wasanii wa Kizazi Kipya cha HipHop. amefunguka Kwenye Mahojiano aliyofanya na The Breakfast Club, Blueface amedai kuwa kuna wanaomshinda kwa Style na namna ya KuFlow tu lakini Katika Uandishi hakuna anayemuweza hata robo.
Toa Maoni Yako Hapa