Sambaza

Burna Boy Kuachia Album Yake African Giant

Related image

MWANAMUZIKI maarufu kutoka Nigeria Burna Boy yupo mbioni kuachia Album yake mpya  inayoitwa ”African Giant” inatoka rasmi julai 26 mwaka huuAlbum hiyo itakua ni ya nne ambapo album yake ya tatu ‘Outside” aliiachia januari 26, 2018   .

Burna Boy ameweka wazi nyimbo zilizopo kwenye album yake pamoja na wasanii aliowashirikisha album hiyo ya ‘African Giant’ itajumuisha jumla ya ngoma 19 ikiwa na nyingine ambazo aliwahi kuziachia mfano The Low, Dangote, Gbona na Anybody, Burna Boy amewashirikisha wakali kibao akiwemo YG(Marekani), Damian Marley (Jamaica) , Angelique Kidjo(Marekani), Future(Marekani), Jorah Smith(Marekani), Jeremih, Jorja Smith na wengine kibao  ambao watasikika kwenye album hiyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey