Meek Mill Na Jay Z Kuja Na Lebo Ya Dream Chasers
Rapa Meek Mill ameamua kushirikiana na Jay Z kuanzisha Lebo yake inayoitwa Dream Chasers Records ndani ya Roc Nation , Meek Mill na Jay Z wamesaini makubaliano hayo julai 23 mwaka huu makao makuu ya Roc Nation mjinio New York.
Dream Chaser Records itashirikiana na kampuni ya Roc Nation ya Jay-Z na Meek Mill atakuwa mfuatiliaji mkuu wa Label hiyo na kutengeneza mfumo wa wafanyakazi vile vile kusaini na kuwaendeleza wasanii. Pia Dream Chasers itasimamia shughuli zake yenyewe, mikakati ya kibunifu, masoko na mahusiano ya biashara.
Toa Maoni Yako Hapa