Mpiga Picha wa Kardashian na Skendo Picha Za Utupu
Mpiga picha maarufu wa Kim Kardashian, Marcus Hyde ameingia kwenye tuhuma chafu ya kuwaomba wadada picha za utupu ili kufanya nao kazi za mitindo.
Mwanamitindo mmoja amevujisha mtandaoni screenshot za chat zao zinaonesha akimuahidi kufanya nae Photoshoot kwa zaidi ya Tsh. Millioni 4 ($ 2K) au kwa bure lakini mpaka akimtumia picha za uchi kwanza ili aone kama anafaa.
Marcus Hyde ameshafanya kazi na baadhi ya mastaa Kim Kardashian na Ariana Grande, Jhene Aiko, Childish Gambino na wengine Kim Kardashian amesema hajawahi kupata tatizo wakati anafanya kazi na Mpiga picha huyo lakini amesikitika kusikia matatizo ambayo wanamitindo wengine wanakutana nayo.
Toa Maoni Yako Hapa