Meek Mill Amemaliza Kifungo Chake Cha Miaka 11
Rapa Meek Mill amemaliza kifungo chake cha nje ambacho alikua akikitumia miaka 11 tangu akamatwe kwa makosa ya kukutwa na dawa za kulevya kumiliki silaha bila kuwa na kibali mwaka 2008.
Mahakama ya Pennsylvania imemfutia hukumu yake ulioambatana na maamuzi ya Kusikilizwa Upya kwa kesi hiyo ambapo majaji watatu wamefanya maamuzi hayo bila kupingwa.
Hukumu ya Jaji Genece Brinkley ya November 6, 2017 ilimhukumu Meek Mill kifungo cha Miaka 2-4 Jela kwa kuvunja masharti .
Toa Maoni Yako Hapa