Penzi La P Diddy Na Lori Harvey Sio Siri Tena
Mkongwe wa muziki nchini Marekani,P Diddy mwenye umri wa miaka 49 inasemekana yupo kwenye mahusiano na Lori Harvery mwenye umri wa miaka 22 mtoto wa mtangazaji maarufu nchini marekani, Steve Harvey
kumekuwa na tetesi za uhusiano wa wawili hao lakini hazikuwahi kuthibitishwa, sasa Alhamisi hii Tetesi za uhusiano huo zimeshamiri baada ya Lori Harvey kuonekana kwenye migahawa mikubwa na Diddy huko NewYork.
Mwezi uliopita pia ziliibuka tetesi kuwa amevishwa pete ya uchumba lakini aliwahi kuzikanusha. Lori Harvey amewahi kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa Diddy aitwaye Justin Combs.
Toa Maoni Yako Hapa