Sambaza

Fabolous Amekanusha Kuachana Na Mzazi Mwenzake  

 

Image result for Fabolous and Emily

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa rapa kutoka Marekani, Fabolous amekanusha madai ya kuachana na Emily B ambaye ni mzazi mwenzake  

Kupitia ukurasa wake wa instagram Rapper huyo aliuambia mtandao huo wa TMZ na kusema umemchafua, hivyo yeye na mwanasheria wake mbioni kuchukua hatua dhidi ya mtandao huo na uongozi wake kiujumla.

Mapema jana, mtandao wa TMZ uliripoti kuwa, Fabolous na Emily B penzi lao kwishneii, japo mtandao huo haukuweka wazi ni lini waliachana, ila uliandika hivi karibuni.

Katika maelezo yake kwenye habari hiyo, iliielezwa kuwa,Fabolous ameanza kuonekana na mwanamke mwingine wakila chakura ncha mchana mjini New Jersey wiki iliyopita.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey