Mpishi Amshtaki Lil Wayne Kwa Kushindwa Kumlipa
D’Antonie Hill ambaye ni mpishi ameshtaki Lil Wayne pamoja na kampuni ya Young Money Entertainment kwa kuvunja mashrti ya mkataba wake wa kazi kwa kushindwa kumlipa.
Mahaka imemuamrisha Lil Wayne kumlipa mpishi uyo wa zamani milioni 80 zilizokuwa zimebaki. Awali alimlipa TZS. milioni 878. Deni kuu ambalo alikuwa anadaiwa ni TZS. milioni 958.
Toa Maoni Yako Hapa