Sambaza

Vanessa Aeleza Jinsi Beyonce ‘Alivyomtosa’ na Kumpotezea

Msanii wa kike anayefanya vizuri hapa Bongo na nje ya mipaka, Vanessa Mdee amefunguka na kueleza jinsi Beyonce na team yake walivyomfata ili kumshirikisha kwenye Album ya filamu mpya ‘The Lion King’.

Akipiga story na moja ya kituo cha radio, Vanessa amesema ‘team’ ya Beyonce iliwasiliana nae kuhusu kushirikishwa kwenye album hiyo ambayo imezua gumzo duniani na alifanikiwa kuwa ‘shortlisted’ kwa ajili ya kushiriki album hiyo, lakini ‘walimpotezea’ mwishoni bila kumwambia chochote.

Kipindi wanatafuta wasanii kwa ajili ya Album hii, my name was shortlisted. I remember there was a conversation, but hiyo conversation sikusikia tena because I don’t know what happened na siwezi kukasirika kwa Mipango ya Beyonce kuchagua wasanii kwa ajili ya album yake.  Na kwa sie ambao tunasafiri, wenzetu muziki wa Afrika wanaoujua ni Afro-beat kutoka West Africa.

“We, in EA, are not in that category, we do Afro Pop. Generally speaking, we are all in the umbrella of ‘African Music,’ unfortunately, they do not differentiate the many genres. Think about it, the essence of Simba-  a lion- is a huge East African attraction and it beats me why Beyoncé did not feature us,”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey