Sambaza

Lulu Diva Aanika Ukweli, Mapenzi yake na Jaguar

Msanii Lulu Diva ameweka bayana mahusiano yake Jaguar na kudai kuwa wamekuwa marafiki kwa muda mrefu sana, lakini hajui kama mkali huyo ameoa au hajaoa, kwani wao wanashirikiana kikazi tu. Amefunguka hayo alipokuwa akipiga story na Kituo kimoja cha Televisheni nchini.

”Jaguar ni ‘My Crush’ muda mrefu sana na amenipa ‘support’ kubwa sana, urafiki wetu sidhani kama una mashaka sana kwasababu yeye ni mtu anayependa kuinua kila mtu mwenye kipaji na hakuna chochote kinaendelea kati yetu”, amesema.

Lulu Diva aliongeza  kuwa siku ambayo anarudi Bongo ndio siku Jaquar alitoka mahabusu, baada ya kushikiliwa kwa siku kadhaa kutokana na maneno yake yaliyodaiwa kuwa ya kichochezi dhidi ya raia wa nchi jirani ikiwemo Tanzania.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey