Davido Kuachia Video Yake Na Chris Brown Kuanzia Sasa
Mkali wa muziki kutoka Nigeria Davido amewahidi mashabiki zake kuachia video yake mpya aliyoshirikiana na Chris Brown muda wowote kuanzi sasa .
Kupitia ukurasa wake wa instagram Davido ameweka kipande cha video na kuandika Clip hii na Kuandika Kuwa Zikifika Comment Elfu 20 Ataachia Chupa lake ”20 THOUSAND COMMENTS AND IMMA DROP THE VIDEO!! #BlowMyMind @chrisbrownofficial”
Toa Maoni Yako Hapa