Sambaza

” Ninatumia Zaidi ya Milioni kwa Wiki kwa Picha tu ” – Fahyvanny

Mchumba wa Msanii wa Bongofleva, Rayvanny ajulikanaye kama Fahima amefunguka na kueleza namna gani anatumia pesa nyingi katika suala la kupiga picha tu.

Akipiga story na moja ya Televisheni ya mtandaoni hapa Bongo, Fahyvanny amesema kuwa hutumia zaidi ya shilingi milioni moja kufanya photoshoot tu, kwa ajili ya picha za kuweka katika ukurasa wake wa Instagram.

Akaongeza kusema kuwa, huwa haipiti wiki moja bila kufanya photoshoot kwa sababu anapenda sana Fashion. 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey