Sambaza

Polisi Wajipanga Siku Ya Kuzaliwa Ya Nipsey Hussle

Image result for nipsey hussle birthday

Mtandao wa TMZ umeripoti siku ya kuzaliwa Nipsey Hussle ni mwezi ujao polisi tayari majipanga katika mitaa mbalimbali mjini Los Angeles imepanga kuimarisha ulinzi katika eneo la duka lake, Marathon Clothing Store siku hiyo ya agasti 15 mwaka huu.
Image result for Marathon Clothing Store
Marehemu Nipsey alipendwa sana na jamii yake hivyo polisi wanatarajia maelfu ya watu kujitokeza ili kutoa heshima zao. Zaidi ya maofisa 100 wa polisi watakuwa eneo hilo lakini wanaweza kutokuwa kwenye sare zao ili kuepusha kutishiwa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey