Sambaza

Video Mpya : Davido, Chris Brown – Blow My Mind

Davido ametimiza haadi yake kwa mashabiki zake ameachia video ya wimbo wakie mpya akiwa ameshirikiana na Chris Brown, Video hiyo adi sasa imefikisha jumla ya watazamaji Milioni 500 kwenye Mtandao wa YouTube. Kwa hivyo basi Davido anakuwa msanii wakwanza kuwa na watazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Nigeria  .

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey