Video Mpya : Mwasiti ft Gnako- Performance
Mwanamuziki anayefanya vizuri katika gemu ya Bongo fleva mwanadada Mwasiti anaendelea kufanya vizuri baada ya kuachia ngoma video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Perfomance’ aliyomshirikisha G Nako, audio imefanyika katika studio za Epic Records na video imeongozwa na Director joowzey.
Toa Maoni Yako Hapa