Sambaza

Ndoa Ya Nicki Minaj Na Kenneth Yanukia

Image result for nicki minaj married

RAPA wa kike Nicki Minaj inasemekana yeye pamoja na mpenzi wake, Kenneth Petty Ndoa yao inakaribia baada ya kufanikiwa kupata Leseni ya ndoa jiji Los A ngeles.

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Nicki na Kenneth wameonekana wakiwa pamoja mahakamani wakichukua leseni yao ya ndoa , pia Nicki Minaj kupitia mahojiano aliyofanya na Queen Radio lidokeza kuhusu ndoa na Kenneth.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey