Vanessa Mdee ‘Adokeza’ Kwa nini Chris Brown Kamfollow
Msanii Vanessa Mdee afunguka kuhusu ukaribu wake na Chris Brown baada ya hivi karibuni kudokeza kuwa Followed kwenye ukurasa wake wa Instagram na Msanii huyo mkubwa Kutoka Marekani.
Vanessa amefunguka alipokuwa akifanya mahojiano na moja ya kituo cha habari hapa bongo.
” Amenifollow Instagram sijui kama kuna mtu mwingine amemfollow kutoka Tanzania lakini najua mimi amenifollow, Tegemeeni mambo mazuri yatakayokuja kutoka kwetu”
Alifunguka Vanessa, akidokeza kuwa kuna kitu kinakuja kati yake yeye na Chris Brown
Toa Maoni Yako Hapa