Sambaza

Baba Levo Ahukumiwa kwenda Jela Kwa Kumshambulia Askari

Image result for baba levo

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na diwani wa kata ya Mwanga, manispaa ya kigoma ujiji, Revocatus kipando (Baba Levo) amehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa la kumshambulia askari wa usalama Barabarani julai 15 mwaka huu.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey