Bifu la Rick Ross Na 50 Cent Limeanza Upya
Baada ya kutunishiana vifua kwa muda mrefu Rick Ross na 50 Cent sasa bifu lao limeanza upya kupitia mahojiano na Big Boy Neighborhood.
Rapa Rick Ross amefanya mahojiano na Big Boy Neighborhood kwenye mahojiano hayo aliulizwa kama yupo tayari kufanya kazi na 50 Cent lisema, “Kiukweli mimi ni Mfanyabiashara, Kama 50 Cent angekuwa na thamani kama zamani ningefanya lakini kwa sasa hapana.”
Toa Maoni Yako Hapa