Sambaza

Jay-Z Avunja Rekodi Kwenye Chart Za Billboard Hot 100

Related image

Mtandao wa Hype Beast umeripoti rapa Jay-Z amevunja rekodi kwenye chart chart za Billboard Hot 100 wiki hii baada ya kuingiza jumla ya ngoma 100 kama solo Artist kwenye chart hizo.
Jay-Z amekuwa msanii wa sita kwenye historia kuvunja rekodi hiyo kupitia ngoma yake ya “Mood 4 Eva,” aliomshirikisha  Beyonce pamoja na Childish Gambino, mgoma hiyo imeshika namba 90 kwenye Billboard Hot 100 wiki hii hivyo kuwa wimbo wa 100 wa Jay-Z kuwahi kuingia kwenye chart hizo.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey