Wema Sepetu ‘Kutoboa Siri’ ya Kukonda kwake
Msanii wa Bongomovie, ambaye aliwahi kushinda taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amefunguka na kudokeza kuhusu siri ya kupungua kwa mwili wake. Miezi kadhaa iliyopita Wema aliongezeka mwili kitendo kilichofanya akawa anapata ‘comments’ zisizofurahisha.
Inaonekana Wema mwenyewe hakupenda kuwa na mwili ule, maana baada ya kupotea kwa muda mitandaoni, alirudi kwa kasi akiwa na mwili tofauti. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wema amedokeza kuwa hivi karibuni atatoa siri ya yeye kupungua vile. Ameandika
Toa Maoni Yako Hapa