Rapa A$AP Rocky Ameachiwa Huru
Baada ya kukaa jela tangu Julai 3 nchini Sweden, Rapa A$AP Rocky ameachiwa huru uku aksubiri uamuzi kutoka mahakamani.
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Mahakama mjini Stockholm imeamua kumuachia A$AP Rocky na kumruhusu arejee Marekani na wenzie wawili, Mwanzoni waendesha mashtaka walimuewekea ngumu kumuachia huru kwa hofu ya kukimbia.
Kupitia ukurasa twitter Rais Donald Trump ametwett taarifa ya kutoka kwa rapa uyo pia Rapa A$AP Rocky amewashkuru watu wote kwa ushirikiano na pia mahakama kwa maamuzi yao.
Toa Maoni Yako Hapa